yllix

Thursday, 9 January 2020

CR7 wants to leave juventus

Cristiano Ronaldo to return to Old Trafford as Man Utd ...
am not happy hear in juventus because the team is not playing in a team work ,i would like to get another team but i think i may go back to manchester united next season

Tuesday, 5 June 2018

Thursday, 26 January 2017

Umalaya wa mastaa wa bongo wazidi ?Je wataka kuwajua hawa apa chini

Ama kweli umdhaniaye ndiye kumbe siye .Mastaa wa bongo wamezidi umalaya mpaka kuyaonyesha hadharani .

Sunday, 24 July 2016

Hatari Demba Ba agoma kung"atuka katika soka

Demba Ba
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Demba Ba ambaye kwa sasa anakipiga nchini China katika timu ya Shaghai Shenhua ,aliumia vibaya baada ya kuchezewa rafu na mpinzani wake katika ligi kuu ya nchi hiyo CSL.Baada ya mchezo huo kocha wa timu hiyo raia wa Senegal ,Gregorio Manzano alisema tukio hilo linaweza kukatisha maisha yake ya soka .Kwa upande wa pili baada ya Demba Ba kutibiwa mguu wake alifunguka na kusema hatang"atuka katika soka ng"oo na ataendelea kuitumikia timu yake afya ikimruhusu

Thursday, 21 July 2016

Mama Wema afunguka kuhusu mahusiano ya Diamond na Wema

DIAMOND AND WEMA
Mama mzazi wa muigizaji na miss Tanzania Wema Sepetu ameweka wazi mahusiano ya mwanae na Nassibu Abduli alimaharufu kama Diamond platnum.Mama mzazi wa Wema alisema wawili hao wapo katika mahusiano japo ni kwa siri sana ,ili Zari asiweze kugundua mahusiano yao.Licha ya wawili hao kukanusha lakini ukweli ndio huo na mam wema akiri.

Mke wa Trump ashtukiwa kwa wizi wa kunakili hotuba ya Michelle Obama

Melania Trump
 Wakati zikiwa zimebaki siku chache tuu kufanya uchaguzi mkuu nchini Marekani .Mke wa Trump alipanda jukwaani ili kuhutubia kwa kumuombea mumewa kura katika uchaguzi utakao fanyika tarehe november 11 mwaka huu.Zimebaki siku 110 kuanzia leo lakini wanaotajwa kuwania kiti cha uraisi wa mMarekani badala ya Obama ni Donald Trump  wa Republican na Hillary Clinton wa Democratic. Hotuba ya mke wa Trump ilikua hivii nukuu "Wazazi wangu walinifundisha umuhimu wa kua na bidii ya kutafuta unachokitaka maishani.Walisema neno lako ndilo linaloweka uhusiano na unafaa kutenda unachosema na kutimiza ahadi  kwamba lazima uwaheshimu watu ,inasema hutuba hiyo.Ifuatayo ni hotuba ya mechelle Obama (2008),alisema mimi na Barack tumelelewa katika maadili yanayofanana kwamba unafanya bidii kutafuta unachokitaka maishani,kwamba neno lako linaweka uhusiano na unatakiwa kutenda unachokisema.Utatenda na lazima uwaheshim watu,hata kama huwafahamu au kukubaliana nao .                                          

Wednesday, 20 July 2016

Ni noma Neymar ampigia saluti Ronaldo,amtabiria tuzo ya mchezaji bora wa dunia

Neymar
  Kuna aliye sema huwezi kua adui kwa  kusema ukweli.Basi mchezaji wa barcelona Neymar amesema ya kua Ronaldo mchezaji wa timu pinzani Real madrid anastahili tuzo ya uchezaji bora wa dunia mwaka huu kwani anakila vigezo vya kuchukua tuzo hiyo,Neymar aliongezea kwa kusema Ronaldo amepata mafanikio ikiwapo kuchukua kombe la Euro mwaka huu inchin Ufaransa akiwa na Ureno timu yake ya taifa na pia kachukua champions legue akiwa na klabu yake ya Madrid na zaidi kuongoza kimagagoli uefa .Kwa upande mwingine amesema Messi ni mchezaji bora lakini mwaka huu hapati kitu   

Monday, 18 July 2016

Kante asaini rasmi chelsea

N"golo Kante chelsea
Kocha wa chelsea Antonio Conte ameendelea kufanya mapinduzi baada ya kumnasa kiongo mkabajii wa Leicester city N'golo Kante ambaye amekiri yakua anafurahishwa na usajili huo.Chelsea imemsajili kiungo huyo kwa kitita cha paundi millioni 32 sawa na zaidi ya billioni 66 za Kitanzania ,huku ikimkabidhi mkataba wa miaka mitano na mwenyewe akifurahia mkataba huo..Kante alinukuliwa akisema anafurahi kujiunga na chelsea kwakua ni timu kubwa duniani na ndoto zake zilikua kucheza klabu kubwa kama hiyo na anafurahi kuwa chini ya kocha bora duniani

Monday, 4 July 2016

The legend of Tarzan by Alexender skargurd

Kama kuna filamu ambayo inasubiriwa kwa hamu zaidi na watazamaji wa filamu basi ni "The legend of Tarzan iliyotengenezwa mwaka 2016 .Filamu hii imeshirikisha nyota kibao sana kama Daniel Samwel na wengineo

MOJA YA VIPANDE  VYA TARZAN 

Sunday, 3 July 2016

Gold:Payet could leave for barcelona or Real madrid

West ham co-chair man David Gold finally he has admited Dimitri Payet could leave the club .if Barcelona or Real madrid come calling .The midfilder has stared for hosts France at Euro 2016 ,stacking his claim to   be named as player of the tournament.
Dimitri payet(france)

Michuano ya Euro Ufaransa yapamba moto

Lekea mwisho wa fainali za EURO  nchini Ufaransa .Mechi za nusu fainali zimeendelea kuchezwa na jana Italia waliambulia kichapo cha mikwaju ya penati dhidi ya Ujerumani.Na leo nusu fainali ya mwisho itachezwa majira ya saa nne kamili usiku ,ikizikutanisha timu ya wenyeji wa mashindano Ufaransa na Kibonde wa Uingereza iceland
France national team

Tuesday, 10 May 2016

Angalia goli la kwanza la West ham la sakho dhid ya man united leo

Vidion ni sakho wa westham akiifungia timu yake goli thidi yamanchester united ambao wanatafuta nafasi ya kucheza Uefa champions mwakani chii ya Jose morinho

Friday, 22 April 2016

Angalia video ya magoli ya liverpool na Everton

Ulikua ni ushindi mnono kwa liverpool baada ya kuwafanga wahasimu wao everton mabao manne kwa bila . Mabao ya liverpool yaliwekwa kimiani na philipe countinho, origi 2 goals na Daniel starrige

Thursday, 21 April 2016

Angalia video ya magoli ya manchester united jana

Ulikua ni ushindi mnono wa mashetani wekundu hao baada ya kushinda mabo mawili bila ,. Magoli ya man u yalifungwa na damian pam9ja na beki wa timu pinzani kujifunga meanyewe

Timu. Zilizofuzu hatua ya klabu bigwa Africa



Timu zilizofuzu katika hatua ya makundi klabu bingwa afrika ni hizi hapa                              1. ZAMALECK.                                                                                                                               2. Enyimba.                                                                                                                                    3. Wyhdad casablanka.                                                                                                                  4. As vita club.                                                                                                                               5. Zesco united.                                                                                                                             6. Es. setifu.                                                                                                                                 7. Ally-Alhally.                                                                                                                                Dro itaifanyika  misri , cairo tarehe 24 ya kupanga nani atacheza na nani

Monday, 18 April 2016

Angalia goli la Mbwana sammata

Goli la mtanzania Mbwana alli samatta , akiifungia timu yake ya genk katika ligi kuu ya ubeligiji, weki hiii

Angalia video ya goli la bolasi na arsenal

Mechi ya jana ya ligi kuu ya england kati ya arsenal na palace ilikua gem nzuri sana na hili ni bao la bolasi la kusawazisha

Friday, 15 April 2016

Sterring castro bdrnard "Neymar7" kijana wa Kitanzania anayetisha uganda daraja la kwanza

.                             castro bernard kulia mtanzania anayesumbua daraja la kwanza uganda.        Amakweli vipaji vipo Tanzania lakini havionekani , hili limeonekana kutoka na kijana aliyekulia katika academy ya shule ya lord baden kwa 'Omary iid kipingu "pwani na kukimbilia Uganda na wenzake wawili Baruani yahya akilimali,  na sudi mlindwa , kwa kweli dgo anajua na nilipo muuliza alinijibu haya .                                                                                   castro--bado nakomaa na mpira , japo mpira wa bongo haulewiki ndo maana nimeamua kuja kuanzia uganda , nilivheza polisi Mara lakini malipo yalikua shida sana ndo maana nikakimbilia huku .

Mechi za nusu fainali uropana uefa zajikana ,"Ronaldo arudishwa England



Hizo ndizo mechi zitakazoendelea katika ligi kuu ya mabingwa ulaya na uropa , Ronaldo arudisha England na man ciy

Did u want to known the nominated player of the year in EPL

Hawa ndio wachezaji walio chaguliwa kugombea tuzo ya mchezaji bora wa Epl mwaka huu.                                                               1. Mesut ozil-Arsenal.                                                  2. Harry kane-Toteham.                                        3. Kante -lecester city.                                         4. Marhez-lecester city.                                          5Jamie Vady-lecester city.                                   6. Payet-west ham united

Thursday, 14 April 2016

Diamond platnum"Nasibu Abdul" amvuruga Zari"the boss lady" sweden

Diamond platnum with Zari "The boss lady"
Amakweli wabongo wanasema hakuna furaha isiyokua na karaha ndio kauli inayoweza kutumika kwenye ziara ya mwanamziki wa bongo fleva , Nassibu Abdul "diamond platnum" na familia yake ya wasafi classic baby"WCB"huko barani ulaya ., ambapo staa huyo alienda na familia yake yote. Zari na platnam wadaiwa kukinukisha hotelin kisa ni wivu wa mapenzi. Huwez amin baada ya kufika Sweden Zari kaona diamond kagandwa na madem basi akajua ni madem  zake wa siku nyingi , jambo ambolo lilipelekea zari kususa na kuamua kulala chumba tofauti na platnum. Ila utuuzima dawa mama mzazi wa diamond aliwakalisha chini wotewawil na kumaliza tofauti zao . Na hapo ndipo zari alipokubali kwenda ukumbini na mweza wake platnum japo kishongo upande. Ziara hiyo inaendelea na sasa wanaelekea nchini ubelgiji ambapo kuna mwanasoka bora wa Afrika Mmbwana Ally sammata, anaye kipiga timu ya Genk

The former champions of Eufa Barcelona from spain are out of the compitation "


The former champions of Uefa barcelona yesterday night they were ckicked out of the compitation by their fellow frends from spain Antletico madrid"from spain ,by 2-0 which makes the aggregate of 3-2 . The barcelona player and the footballer of the year 2015 in thd world Lionel messi failed to scored for almost 5 matches up to nw. Bayen munich faced the draw against the home timu benfica in portugal

Wednesday, 13 April 2016

Je unawajua wachezaji wenye umri mdogo wanaogombea tuzo ya uchezajii bora msimu huu ligi kuu ya uingereza

1. Delle ally -Totteham                                                                                                                   2. Backley-Everton.                                                                                                                       3. Philipe countinho-liverpool.                                                                                                     4. Harry kane -Totteham.                                                                                                             5. Lomelu lukaku-Everton.                                                                                                           6. Jack Butland-stock city.                                                                                                            Kwa mpaka sasa tuzo hio bado inashikiliwa na mshambuliaji wa totteham Harry kane, na kwa kipindi hiki philipe countnho anapewa nafasi kubwa sana ya kushinda tuzo hio

Its a seriously war today where by antletico madrid will play barcelona

Katika usiku wa leo wa uefa champions legue antletico madrid wataikaribisha barcelona katika mchezo wao wamarudiano utakao pigwa majira ya saa 9:45pm in East africa time . nNa kama barcelona watashinda itakua ni furaha pia kwa legend mstaafu 'Carlos poyol 'ambaye anatimiza miaka 38leo..                                                                                                 
Happy birtday carlos poyol


Je wamjua mrithi wa Ally salehe "king kiba" kwa. Jojo"Joketi mwangelo huyu hapa mshikaji afunguka

                                           Starick pichani akiwa katika ubora wake                                         mwanamuziki anayetisha na wimbo wake wa "nipe wakaseme" Sitta Richard"Starick amefunguka na kusema yupo katika harakati za kuhakikisha anamrithi Ally Salehe"king  Kiba" kwa mwanadaa 'Jokate Mwangelo"jojo"kwani huyu binti anamzimikia sana .                 
Pichani ni mwanamitindo Joketi 'Jojo'
Na anakosa raha kabisa akiwaona wawili hao katika mahusiano .Anasema katika kitu kicho mfurahisha na kumpa moyo ni baada ya Jojo" kufungiana vioo na King kiba" nilikua nammendea "Jojo" tangu kitambo na nampenda sana wakati wowote anaweza kusikia lolote kati yetu

Children mega -recruitment in boko haramu

Children's boko haramu
According to UN says "BOKO HARAMU" use of children bombers . This has been seen increased since last year and it is the threaty to the feature generation , according to the role this act are against the children rights and its is crime to BOKO HARAMU

Account za instagram za mastaa wawili bongo za verfied

Pichani ni vannesa mdee'V money,  na idris sultan
Kutokana na mastaa hawa wawili wa bongo kuwa na followers kupita kias sasa account zao za instagram zimekua verfied na wanazimiliki senyewe , swala hili linapelekea wawili hawa kuungana na wenzao kama Diamond platnum"simba"na Flavia  Matata, ambao account zao zina tiki za blue yaan verfied

Tuesday, 12 April 2016

Angalia moja ya magoli aliyofunga Christin Ronaldo usiku wa leo na wolfburg

Pichani ni christan Ronaldo akifunga bao la pili thid ya wolfburg katika uwanja wa benabeu

John Magufuli-Tanzanian's "Bulldozer Presidentin profile

The son of the peasent farmer, John Pombe Magufuli
                                    Five things about John Pombe Magufuli.                                                  1. The 56. Years old , is a farmer school teacher, industial chemistry and out going work... 2. Nicknamed.             "The Bulldozer".                                                                                      3. A devout catholic with a curruption free repetation.                                                            4. Performed push -ups on the campeining trail to prove that he was fit.                                5. Pleadgoal to end power shorteges and exploit Tanzania natural gas discoveries

Mambo usiyoyajua kutoka kwa 'Mo Music "hayaapa

Rock city 'Mwanza"ni miongoni mwa miji iliyoendelea kwa kasi nchini Tanzania 'ambopo kwenye code ya burudani wapo juu sana na wanatisha kwa kutoa wasanii wenye majina makubwa nchini kama Fid Q, Pnc, Young killer, Rado, Barakah Da prince na wengine wengi katika ardhi hiyo amekulia msanii wa bongo fleva ambaye anafanya vizur kwa sasa Moshi Katemi'Mo Mosic"staa wa wimbo wa 'basi nenda", nahapa anfunguka mambo ambayo anadai hatuyafahamu kuhusu yeye.   'ATENDWA ATASUA KIMZIKI" Mo music anasema mafanikio yake kayapata kutokana na kutendwa kimapenzi ๐Ÿ’—๐Ÿ’—๐Ÿ’—๐Ÿ’“wakati yuko secondary huko 'Rock city"., anasema alianza mahusiano akiwa kidato cha pili na baada ya kumaliza kidato cha nne na msichana wake huyo kufaulu kuendelea kimasomo mkoani 'Kilimanjaro"mambo yalibadilika jambo lililo mvunja sana moyo na kumpelekea kutunga wimbo wa 'Basi nenda"uliovuma sana nchini.......... MO anasema alianza gem akiwa rapa , nilirekodi ngoma yangu ya kwanza mwaka 2010 iitwayo 'NAKUDANGANYA" baadae nilibadilika baada ya kukutana na producer wangu Lol Pop  na kugundua kua nina kipaji cha kuimba... Mo anaendelea kusema kati ya vitu vinavyonisumbua akili yangu ni menegment mbovo niliyo nayo iitwayo 'Aljezeera"ambayo iko chini ya Mac Danes, hanisaidii kitu chochote na badala yake nimegeuka kama busness partiner swala ambalo linanisumbua sana... MO anazidi kusema watu hawezi amini ila kwa sasa sipo kati uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yeyote yule , kutokana na akili yangu kutokua sawa . Anamaliza 'Mo Music"

Monday, 11 April 2016

Mechi za marudiono za Uefa champions legue kuendelea leo

Pichani ni wachezaji wa
Real madrid wakishangalia
 Michuono ya Uefa champions legue itaendelea leo usiku kwa kuzikutanisha timu za manchester city vs Paris sent germany katika uwanja wa Etihad , na Real madrid vs wolfburg katika dimba la Sentiago benabeu,. Michezo yote miwili itaanza majira ya 9:45pm East african time. Pia michuono hiyo itaendelea kesho jumatano ambapo barcelona watakua wageni wa antletico madrid na Benfica from portugal wataikaribisha Bayen munich... Will madrid pass though today , i need your comment

Kanye West agonga shoo yake ya kwanza ya ',The life of Pablo.

The king rapper of hip-hop in the world Kenye West 'Yeezy"kwa mara ya kwanza tangu aachie album yake mpya , amefanya shoo ya nguvu ya kuitambulisha album yake mpya 'The life of Pablo, "kwenye tamasha la Paradise International music festival lililofanyika nchini phillipines juz jumamosi (April 9).                                                                                          Miongoni mwa nyimbo alizogonga rapa huyo ambozo zimo pia ndani ya album yake ni 'Famous" hii ilikua shoo yake ya kwanza kwa Kenye West 'Yeezy"kwa mwaka 2016 kuifanya nchini phillipines, Tamasha hiloo lilikua na wakali pia kama Wiz khalifa, Airo jock na Austin Mohone

HAPPY BD DELLE ALY

The youngest Toteham hospers pleyer delle ally  scored a goal  yestetday against mancjester united home win, bt today it is his birth day ..... Happy bd dele ally

Angalia video ya Mtanzania Mbwana Ally Sammata akitikisa nyavu

Mashabiki wa timu ya Genk inayoshiriki ligi kuu ya belgium , wamekuwa na furaha baada ya kuona mtanzania mbana ally sammata akitupia goli safi , katka mchezo huo kijana huyo wa kitanzania iliiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhid ya timu pinzani , licha ya kutokea sub but still kazi yake inaonekana๐Ÿ’ฏ⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽⚽

Nkumba university cultural gala

Hivi  ndivyo wanyamwez wa Tanzania walivyotisha katika culture galla last saturday in waterfront Entebbe uganda @wit kerewa kerewa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฟ๐Ÿ’ฟ๐Ÿ’ฟ

Wabongo watkisa culture galla uganda

Habariij zenyuuu bhanaaaaa!!! Watanzania tukiwezeshwa tunaweza hawa ni moja wapo ya wabongo waliotisha na kutikisa katika culture galla on da past saturday

KUTANA NAYE MKALI WA ACHANA NA MIMI NZAYA DON NGONSHA AKIZUNGUMZIA HISTORIA YA MAISHA YAKE

CASTRO ON AIR WWW.CASTROBERN11.BLOG SPOT.COM
mkali wa sasa wa hip-hop nchini Tanzania atesa na kutikisa jukwaa kwa wimbo wake mkali wa achana na mimi.
wimbo huu umevuma kila media zote nchini tanzania na kupigwa Trace TV.MTVBASE.ukiwa wa kwanza katika top 5 kwa wiki tatu mfululizooo.wimbo huu jamaa yetu amemshilikisha Mirror na umeproduciwa na Mr T,touch.ktok pande za Dar.
Huyu jamaa ametisha sanaaaaaaaa