yllix

Thursday, 21 July 2016

Mke wa Trump ashtukiwa kwa wizi wa kunakili hotuba ya Michelle Obama

Melania Trump
 Wakati zikiwa zimebaki siku chache tuu kufanya uchaguzi mkuu nchini Marekani .Mke wa Trump alipanda jukwaani ili kuhutubia kwa kumuombea mumewa kura katika uchaguzi utakao fanyika tarehe november 11 mwaka huu.Zimebaki siku 110 kuanzia leo lakini wanaotajwa kuwania kiti cha uraisi wa mMarekani badala ya Obama ni Donald Trump  wa Republican na Hillary Clinton wa Democratic. Hotuba ya mke wa Trump ilikua hivii nukuu "Wazazi wangu walinifundisha umuhimu wa kua na bidii ya kutafuta unachokitaka maishani.Walisema neno lako ndilo linaloweka uhusiano na unafaa kutenda unachosema na kutimiza ahadi  kwamba lazima uwaheshimu watu ,inasema hutuba hiyo.Ifuatayo ni hotuba ya mechelle Obama (2008),alisema mimi na Barack tumelelewa katika maadili yanayofanana kwamba unafanya bidii kutafuta unachokitaka maishani,kwamba neno lako linaweka uhusiano na unatakiwa kutenda unachokisema.Utatenda na lazima uwaheshim watu,hata kama huwafahamu au kukubaliana nao .                                          

No comments:

Post a Comment