 |
Neymar |
Kuna aliye sema huwezi kua adui kwa kusema ukweli.Basi mchezaji wa barcelona Neymar amesema ya kua Ronaldo mchezaji wa timu pinzani Real madrid anastahili tuzo ya uchezaji bora wa dunia mwaka huu kwani anakila vigezo vya kuchukua tuzo hiyo
,Neymar aliongezea kwa kusema Ronaldo amepata mafanikio ikiwapo kuchukua kombe la Euro mwaka huu inchin Ufaransa akiwa na Ureno timu yake ya taifa na pia kachukua champions legue akiwa na klabu yake ya Madrid na zaidi kuongoza kimagagoli uefa .Kwa upande mwingine amesema Messi ni mchezaji bora lakini mwaka huu hapati kitu
No comments:
Post a Comment