 |
N"golo Kante chelsea |
Kocha wa chelsea Antonio Conte ameendelea kufanya mapinduzi baada ya kumnasa kiongo mkabajii wa Leicester city N'golo Kante ambaye amekiri yakua anafurahishwa na usajili huo.Chelsea imemsajili kiungo huyo kwa kitita cha paundi millioni 32 sawa na zaidi ya billioni 66 za Kitanzania ,huku ikimkabidhi mkataba wa miaka mitano na mwenyewe akifurahia mkataba huo..Kante alinukuliwa akisema anafurahi kujiunga na chelsea kwakua ni timu kubwa duniani na ndoto zake zilikua kucheza klabu kubwa kama hiyo na anafurahi kuwa chini ya kocha bora duniani
No comments:
Post a Comment