yllix
Tuesday, 12 April 2016
Mambo usiyoyajua kutoka kwa 'Mo Music "hayaapa
Rock city 'Mwanza"ni miongoni mwa miji iliyoendelea kwa kasi nchini Tanzania 'ambopo kwenye code ya burudani wapo juu sana na wanatisha kwa kutoa wasanii wenye majina makubwa nchini kama Fid Q, Pnc, Young killer, Rado, Barakah Da prince na wengine wengi katika ardhi hiyo amekulia msanii wa bongo fleva ambaye anafanya vizur kwa sasa Moshi Katemi'Mo Mosic"staa wa wimbo wa 'basi nenda", nahapa anfunguka mambo ambayo anadai hatuyafahamu kuhusu yeye. 'ATENDWA ATASUA KIMZIKI" Mo music anasema mafanikio yake kayapata kutokana na kutendwa kimapenzi ππππwakati yuko secondary huko 'Rock city"., anasema alianza mahusiano akiwa kidato cha pili na baada ya kumaliza kidato cha nne na msichana wake huyo kufaulu kuendelea kimasomo mkoani 'Kilimanjaro"mambo yalibadilika jambo lililo mvunja sana moyo na kumpelekea kutunga wimbo wa 'Basi nenda"uliovuma sana nchini.......... MO anasema alianza gem akiwa rapa , nilirekodi ngoma yangu ya kwanza mwaka 2010 iitwayo 'NAKUDANGANYA" baadae nilibadilika baada ya kukutana na producer wangu Lol Pop na kugundua kua nina kipaji cha kuimba... Mo anaendelea kusema kati ya vitu vinavyonisumbua akili yangu ni menegment mbovo niliyo nayo iitwayo 'Aljezeera"ambayo iko chini ya Mac Danes, hanisaidii kitu chochote na badala yake nimegeuka kama busness partiner swala ambalo linanisumbua sana... MO anazidi kusema watu hawezi amini ila kwa sasa sipo kati uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yeyote yule , kutokana na akili yangu kutokua sawa . Anamaliza 'Mo Music"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment