 |
Demba Ba |
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Demba Ba ambaye kwa sasa anakipiga nchini China katika timu ya Shaghai Shenhua ,aliumia vibaya baada ya kuchezewa rafu na mpinzani wake katika ligi kuu ya nchi hiyo CSL.Baada ya mchezo huo kocha wa timu hiyo raia wa Senegal ,Gregorio Manzano alisema tukio hilo linaweza kukatisha maisha yake ya soka .Kwa upande wa pili baada ya Demba Ba kutibiwa mguu wake alifunguka na kusema hatang"atuka katika soka ng"oo na ataendelea kuitumikia timu yake afya ikimruhusu
No comments:
Post a Comment