yllix

Wednesday, 13 April 2016

Je wamjua mrithi wa Ally salehe "king kiba" kwa. Jojo"Joketi mwangelo huyu hapa mshikaji afunguka

                                           Starick pichani akiwa katika ubora wake                                         mwanamuziki anayetisha na wimbo wake wa "nipe wakaseme" Sitta Richard"Starick amefunguka na kusema yupo katika harakati za kuhakikisha anamrithi Ally Salehe"king  Kiba" kwa mwanadaa 'Jokate Mwangelo"jojo"kwani huyu binti anamzimikia sana .                 
Pichani ni mwanamitindo Joketi 'Jojo'
Na anakosa raha kabisa akiwaona wawili hao katika mahusiano .Anasema katika kitu kicho mfurahisha na kumpa moyo ni baada ya Jojo" kufungiana vioo na King kiba" nilikua nammendea "Jojo" tangu kitambo na nampenda sana wakati wowote anaweza kusikia lolote kati yetu

No comments:

Post a Comment